Profesa Assad ashtakiwe kwa kukiuka maadili akiwa ofisini. Alimpeleka dereva kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
 
Hata mimi nikishangaa, yeye kama mtaalamu, anawezaje kumpangia kazi ambayo muhusika hajasomea?

Nje ya usomi wake, pia ana ka namna fulani ka roho mbaya. Na inawezekana huyo jamaa alikuwa wa imani/dini tofauti, kwa hiyo akawa anachukia.

Ni yeye huwa anakomalia utawala wa sheria, utawala wa sheria ni pamoja na kufuata job description, kwa msingi kwamba mkataba wa kazi ni sheria iliyotungwa na wahusika, na inalindwa na sheria ya mikataba.

Sasa JPM angempa kazi ya kufanya usafi wa mazingira na vyoo pale ofisi ya CAG angekubali? Unavyotaka kutendewa, tendea wengine
 
Kabisa uko sahihi
 
Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
Nyie ni wafanyakazi wa kuajiriwa? Angalia job description ya mkataba wako wa ajira. Je haisemi utafanya kazi hizi, hizi, na point ya mwisho kusema ...na kazi yoyote nyingine utakayopangiwa na mwajiri wako? Sasa tatizo liko wapi?

Na je, inapotokea dereva hana kazi kwa sababu kuna madereva wengi, mnataka alipwe bila kufanya kazi, wakati labda kuna nafasi kwenye masijala ambayo haina mtu? Kwa sababu option inakuwa ni kumpunguza dereva arudi nyumbani au kumwambia kaa hapa masjala (bila kuathiri mshahara wake) hadi tukiwa na gari nyingine ya ziada, badala ya kuajiri mtu wa masijala wakati kuna mtu hana gari na ni dereva. Mmefikiria hilo au hamjui mambo ya HR management mnalaumu tu?
 
Hopolesi kabisa wewe!
 
Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
Ngoja kwanza tumalizane na yule prof WA TIA aliempeleka afisa ugavi kuwa librarian
 
Sioni tatizo mliambiwa tatizo katiba wakurugezi 75% wakuu wa wilaya, Wakuu wa mikoa !!

ni wabovu na shule yao Ina mashaka makubwa lakini mbona Hamsemi?

Nchi hii elimu inazingatiwa sehemu tatu tu
Makatibu Wakuu wa wizara, Wizara ya afya na mahakamani uko kwingine ni michongo michongo.
 
Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
Hayo majungu kwa kuwa yeye na mafisadi ni macho na pili pili,na ni msema ukweli najua yeye na rangi za mboga ni sawa na nyegere na nyoka,ama nguchiro na nyoka,.Hivyo hayo mengine ni ya kumtafutia ssbabu tu,kama zilivyofitna za kitanzania.
 
Kunakuwaje na madereva wengi kuliko mahitaji? Huo ni uhujumu uchumi
Anatakiwa kushtakiwa kwa kuajiri wengi kuliko mahitaji
Kama gari aliporwa kumkomoa kwa kuwa alikuwa akichapa bakora mikono ya wakwapuaji wa rangi mboga mboga?
 
Sioni tatizo mliambiwa tatizo katiba wakurugezi 75% wakuu wa wilaya, Wakuu wa mikoa !!
Yeye mwenyewe Proffessor Assad ndie alisema hivyo yeye mwenyewe kichwani zimo?

Alihamishaje dereva kwenda kuwa mfanyakazi wa masjala wakati masjala kuna watu waliosomea taaluma za masjala ns dereva hana hiyo taaluma

Yeye mwenyewe Assad zimo kichwani?
 
Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
Sheria yetu inaruhusu hayo?!!
 
Mtu pekee asiyeruhusiwa kushtakiwa kwa matendo aliyofanya akiwa ofisini ni Raisi tu kwa mujibu wa katiba ya nchi

Wengine wote akiwemo CAG ruksa kuwaburuza mahakamani hata kama hayuko kwenye hiyo nafasi
Sawa,anamshitaki kama CAG mstaafu au kama Assad(personal)?
 
Kama CAG akiwa madarakani enzi zake akiwa madarakani kabla kustaafu au kustaafishwa au kujiuzulu whatever

Ni kipindi chake akiwa madarakani hakuna neno kustaafu kujiuzulu wala halitakiwi kuwemo kwenye hati ya mashtaka
 
Ok,mahakama ya kazi?
 
Nafikiri hukusikiliza vizuri yale mahojiano. Unajua mkataba wa huyo dereva na alikua wa taasisi gani? Je ilikua taasisi ya umma au sekta binafsi?
Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
 
Wewe ni tahira
Tahira
Tahira
Tahira.
Kuna sehemu kwenye mkataba wa ajira wameandika duties na wameongeza kuwa utafanya duties zingine utakazopangiwa na mwajiri au msimamizi wako.
Ukiwa mshenzi watu wanakunyoosha. Kakae masijala uonje joto la jiwe.
Mimi nimekuwa kwenye utumishi wa umma mwaka wa 9 sasa, nimeona watumishi wengi tu wako kwenye ofisi tofauti na kada walizosomea na mambo yanakwenda vizuri tu.
Kazini kwetu kuna mtu wa record yuko Accountancy, yupo security kapangiwa Accountancy, yupo technician wa electrical yuko Accountancy. Acheni kukuza vitu.
Wakiwa kwenye ofisi zingine wao hawawi wakuu wa vitengo bali watafanya sub duties na kazi zinaenda vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom