Kabisa uko sahihiHata mimi nikishangaa, yeye kama mtaalamu, anawezaje kumpangia kazi ambayo muhusika hajasomea?
Nje ya usomi wake, pia ana ka namna fulani ka roho mbaya. Na inawezekana huyo jamaa alikuwa wa imani/dini tofauti, kwa hiyo akawa anachukia.
Ni yeye huwa anakomalia utawala wa sheria, utawala wa sheria ni pamoja na kufuata job description, kwa msingi kwamba mkataba wa kazi ni sheria iliyotungwa na wahusika, na inalindwa na sheria ya mikataba.
Sasa JPM angempa kazi ya kufanya usafi wa mazingira na vyoo pale ofisi ya CAG angekubali? Unavyotaka kutendewa, tendea wengine
Nyie ni wafanyakazi wa kuajiriwa? Angalia job description ya mkataba wako wa ajira. Je haisemi utafanya kazi hizi, hizi, na point ya mwisho kusema ...na kazi yoyote nyingine utakayopangiwa na mwajiri wako? Sasa tatizo liko wapi?Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake
Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
Hopolesi kabisa wewe!Nyie ni wafanyakazi wa kuajiriwa? Angalia job description ya mkataba wako wa ajira. Je haisemi utafanya kazi hizi, hizi, na point ya mwisho kusema ...na kazi yoyote nyingine utakayopangiwa na mwajiri wako? Sasa tatizo liko wapi?
Na je, inapotokea dereva hana kazi kwa sababu kuna madereva wengi, mnataka alipwe bila kufanya kazi, wakati labda kuna nafasi kwenye masijala ambayo haina mtu? Kwa sababu option inakuwa ni kumpunguza dereva arudi nyumbani au kumwambia kaa hapa masjala (bila kuathiri mshahara wake) hadi tukiwa na gari nyingine ya ziada, badala ya kuajiri mtu wa masijala wakati kuna mtu hana gari na ni dereva. Mmefikiria hilo au hamjui mambo ya HR management mnalaumu tu?
Wewe hapa agenda yako ni udini, na japo mimi ni mkristo kama wewe hupati sapoti yangu! Acha niwe hopolesi kama unavyosema😀Hopolesi kabisa wewe!
Ngoja kwanza tumalizane na yule prof WA TIA aliempeleka afisa ugavi kuwa librarianProffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake
Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
Hayo majungu kwa kuwa yeye na mafisadi ni macho na pili pili,na ni msema ukweli najua yeye na rangi za mboga ni sawa na nyegere na nyoka,ama nguchiro na nyoka,.Hivyo hayo mengine ni ya kumtafutia ssbabu tu,kama zilivyofitna za kitanzania.Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake
Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
Kunakuwaje na madereva wengi kuliko mahitaji? Huo ni uhujumu uchumihana kazi kwa sababu kuna madereva wengi, mnataka alipwe bila kufanya kazi, wakati labda kuna nafasi kwenye masijala
Kama gari aliporwa kumkomoa kwa kuwa alikuwa akichapa bakora mikono ya wakwapuaji wa rangi mboga mboga?Kunakuwaje na madereva wengi kuliko mahitaji? Huo ni uhujumu uchumi
Anatakiwa kushtakiwa kwa kuajiri wengi kuliko mahitaji
Yeye mwenyewe Proffessor Assad ndie alisema hivyo yeye mwenyewe kichwani zimo?Sioni tatizo mliambiwa tatizo katiba wakurugezi 75% wakuu wa wilaya, Wakuu wa mikoa !!
Sheria yetu inaruhusu hayo?!!Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake
Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
Mtu pekee asiyeruhusiwa kushtakiwa kwa matendo aliyofanya akiwa ofisini ni Raisi tu kwa mujibu wa katiba ya nchiSheria yetu inaruhusu hayo?!!
Sawa,anamshitaki kama CAG mstaafu au kama Assad(personal)?Mtu pekee asiyeruhusiwa kushtakiwa kwa matendo aliyofanya akiwa ofisini ni Raisi tu kwa mujibu wa katiba ya nchi
Wengine wote akiwemo CAG ruksa kuwaburuza mahakamani hata kama hayuko kwenye hiyo nafasi
Kama CAG akiwa madarakani enzi zake akiwa madarakani kabla kustaafu au kustaafishwa au kujiuzulu whateverSawa,anamshitaki kama CAG mstaafu au kama Assad(personal)?
Ok,mahakama ya kazi?Kama CAG akiwa madarakani enzi zake akiwa madarakani kabla kustaafu au kustaafishwa au kujiuzulu whatever
Ni kipindi chake akiwa madarakani hakuna neno kustaafu kujiuzulu wala halitakiwi kuwemo kwenye hati ya mashtaka
Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake
Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu