Profesa Assad ashtakiwe kwa kukiuka maadili akiwa ofisini. Alimpeleka dereva kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Masijala ni sehemu nyeti sana kumpeleka dereva mule ni kupafungua na kukiuka mipaka ya masijala. Kwanza aliapa wapi kutunza siri za mule na je alikua na taaluma ya kutunza document za siri?
Si kila kazi ya masijala ni nyeti. Anaweza kupewa kazi ya kupokea barua tu na kuzi register
 
Ndio maana Tanzania tunatia sahihi mikataba ya kijinga. Wewe unaambiwa "na kazi nyingine yeyote utakayopangiwa" unasema na kazi nyingine ya fani yangu, ndio wameandika hivyo?

Na kazi nyingine yoyote ina maana bosi anaweza kukupangia kazi ya kupiga deki japo wewe ni dereva, au kukutuma ukamtengenezee kahawa. Eleweni lugha za mikataba
 
Sio sahihi dereva kuhamishwa kufanya kazi za masijala ikiwa hana taaluma ya masuala ya kudeal na nyaraka. Haya maneno , " na kazi nyingine yoyote atakayopangiwa" yanapaswa kutafsiriwa kupitia "ujusdem generis rule", kwamba, kazi hio ni lazima iwe inafanana/ inaendana na kazi ya msingi. Sio mtu ameajiriwa kama mhasibu afu anenda kupewa kazi ya upishi.
 
Huyo mkoa akili hawezi kuelewa kitu, unapigia mbuzi gitaa
 
Ficha upumbavu wewe. Job description haiwezi ku exhaust kazi zote kila dot, ndio maana inaandikwa na kazi nyingine, lakini itabaki kwenye chain ya kazi ya msingi.
 
Ficha upumbavu wewe. Job description haiwezi ku exhaust kazi zote kila dot, ndio maana inaandikwa na kazi nyingine, lakini itabaki kwenye chain ya kazi ya msingi.
Hivyo ndivyo mnavyopigwa mikataba wapumbavu nyie! Mnaweka vipengele vyenu wenyewe kichwani wakati havipo kwenye mandishi
 
Suala sio kuwa na taaluma bali kuweza kufanya kazi katika hiyo taaluma nyie watu wa wapi? Kumfundisha mtu kazi ya masjala inaweza kuwa on the job training aliyopewa dereva. Kwani Ummy Mwalimu alipofanywa kuwa waziri wa Afya ilikuwa taaluma yake? Au Samia alisomea wapi uraisi?
 
Huyo mkoa akili hawezi kuelewa kitu, unapigia mbuzi gitaa
Mbuzi ni nyie mnajifanya mnajua HR wakati mmeajiriwa kama vibarua! Mainjinia, wanasheria, wahasibu wangapi wanafanywa kuwa mameneja, umeneja ni taaluma yao? Kwa nini wasioewe watu waliosomea umeneja basi na wapewe wao?
 
Jifunze kuwa na akili acha ujinga.
 
Mbuzi ni nyie mnajifanya mnajua HR wakati mmeajiriwa kama vibarua! Mainjinia, wanasheria, wahasibu wangapi wanafanywa kuwa mameneja, umeneja ni taaluma yao? Kwa nini wasioewe watu waliosomea umeneja basi na wapewe wao?
Huna akili wewe jamaa, hujui hata meneja ni mtu wa namna gani! Huyo mhasibu kuwa meneja wa fedha(financial manager) ni tatizo? injinia kuwa meneja wa ujenzi(works manager) ni tatizo? Au meneja ni nani? Kwa akili yako finyu mhasibu anaweza kuwa meneja wa Human Resources.
Mijitu mijinga kama hii huwa ni mijasiri sana
 
Umeishia darasa la ngapi, tuanzie hapo. Masjala ni kazi ya kufanya baada ya kwenda course miaka miwili, ndivyo ulivyofanya? Ukaona course ngumu madereva hawawezi kuifanya, sasa kusikia dereva kapewa na wewe uliisotea miaka miwili nongwa!
 
Umeishia darasa la ngapi, tuanzie hapo. Masjala ni kazi ya kufanya baada ya kwenda course miaka miwili, ndivyo ulivyofanya? Ukaona course ngumu madereva hawawezi kuifanya, sasa kusikia dereva kapewa na wewe uliisotea miaka miwili nongwa!
Haaa haaa naona anahamisha magoli tu,mimi ni darasa la 4 mwenye akili kubwa.
Dereva kuwekwa masijala, haifanyi masijala akafukuzwa kazi. Kwa hiyo nogwa haipo.
Kinachoshangaza ni wewe kudhani yeyote anaweza kupangiwa kazi yeyote bila kujali masomo na ajira yake ya msingi
 
Mimi sijasema kazi yeyote. Nimesema kazi yeyote anayoweza kuifanya. Sasa kama dereva angeweza kufanya kazi ya masjala akisubiri kazi ya udereva itokee kuna tatizo gani? Katika management kuna special course ambayo inamfundisha manager kuwa flexible. Sasa hapo ndio mnapofeli, mnamg'ang'ania kwenye kusema yeye ni dereva utafikiri mna ubongo wa cement.

Prof. Asad alitumia kitu kinaitwa discretion ya CEO katika ku manage resources. Badala ya kumpunguza kazi dereva kwa sababu walikuwapo wengi, ni wazi alisema apewe kozi fupi ya mambo ya masjala ambayo angeweza kufanya hadi kazi ya kuajiriwa kwake ingepatikana.

Sasa wewe mwenye akili sana, ungekutana na hali hiyo, una madereva wengi magari machache, na kuna nafasi masjala, ungefanya uamuzi gani?

Kuna siku utakuja kugundua ulivyo kilaza poyoyo urudi kwenye hii thread kuomba msamaha kwa kuonyesha ujinga wako hapa
 
Katika Barua za utumishi, inaandikwa Atafanya kazi yeyote atakayopangiwa na Kiongozi wake,

Wewe ni Bogus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…