Huu ugonjwa ni kama umeelekezwa kwa ma profesa walah!!!Lala salama baba. Tunakushukuru sana wa huduma Mungu aliyokuwa amekujalia
Uliitumia vyema karama Mungu aliyoiweka ndani yako
Mwendo umemaliza [emoji174][emoji174][emoji174]
---
Daktari Bingwa wa Watoto Dr Augustine Massawe wa Furaha Medical amefariki Dunia leo Jijini Dar es Salaam. Taarifa kutoka kwa familia ni kwamba Dkt. Massawe amefariki asubuhi hii katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa kwa matibabu.
Hili ndio la wasiwasi sanaKwa huu mwendo unavyoenda, kila siku vipanga wanavyoondoka, muda si mrefu tutabakiwa na vilaza wa chadomo tu huku mitaani.
Lala salama baba. Tunakushukuru sana wa huduma Mungu aliyokuwa amekujalia
Uliitumia vyema karama Mungu aliyoiweka ndani yako
Mwendo umemaliza 💔💔💔
---
Daktari Bingwa wa Watoto Dr Augustine Massawe wa Furaha Medical amefariki Dunia leo Jijini Dar es Salaam. Taarifa kutoka kwa familia ni kwamba Dkt. Massawe amefariki asubuhi hii katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa kwa matibabu.
RIEP baba Furaha...Umetibu watoto wetu ambao nao wameshakuwa ma dr. Sasa...Sleep well baba yetuLala salama baba. Tunakushukuru sana wa huduma Mungu aliyokuwa amekujalia
Uliitumia vyema karama Mungu aliyoiweka ndani yako
Mwendo umemaliza 💔💔💔
---
Daktari Bingwa wa Watoto Dr Augustine Massawe wa Furaha Medical amefariki Dunia leo Jijini Dar es Salaam. Taarifa kutoka kwa familia ni kwamba Dkt. Massawe amefariki asubuhi hii katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa kwa matibabu.
Tunapoteza resource ya nchi sijui itakuaje huko mbeleMwaka huu Mungu atatie nguvu
Linapokuja swala la usawa kifo kinatuweka sawa. Mungu aturehemu na huu upepo.Dah! Inasikitisha sana. Mwezi uliopita nilipeleka watoto kule hospitali yake moya Bunju nafikiri. Nikasema afadhali amepata eneo kubwa na ameboresha miundo mbinu. Kumbe yeye anapanga yake na Mungu anamipango yake. So sad!
Mungu huwa hatii nguvu wajinga.Kazi yake Mungu ilikuwa ni kutupa akili na alishamaliza kazi hiyo.
Kuwa kipanga yenyewe ni stress tosha, unauchosha mwili.....kama ilivyoandikwa 'akili nyingi huuchosha' mwili. Vilaza wengi ndo maana unakuta wamenenepeana maana akili haifanyi kazi yoyote ya maana zaidi ya ujinga ujinga......Kwa huu mwendo unavyoenda, kila siku vipanga wanavyoondoka, muda si mrefu tutabakiwa na vilaza wa chadomo tu huku mitaani.
Akili gani umepewa! Kama Mungu wako amekupa akili hiyo basi na yeye hana akili.Mungu huwa hatii nguvu wajinga.Kazi yake Mungu ilikuwa ni kutupa akili na alishamaliza kazi hiyo.
Alikuwa anavaa barakoa muda mwingi? Kama ni hivyo basi sababu ndo hizoAlichanjwa?
DaaahAlichanjwa?
Mtabaki nyie machoko wa chukua chako mapemaKwa huu mwendo unavyoenda, kila siku vipanga wanavyoondoka, muda si mrefu tutabakiwa na vilaza wa chadomo tu huku mitaani.