Katika maisha yake kama mtafiti na mwalimu wa chuo alishughulika maswali ya sayansi, teknolojia na maendeleo endelevu na hasa maswali ya biotekinolojia na bioanwai. Alikazia njia za kuleta uvumbuzi kwa kilimo barani Afrika
Its sad kusikia kifo cha mtu yeyote. Pengine kabla ya mauti kumkuta angetuelezea zaidi effect ya mambo ya GMO na madhara yake na mahusiano yake na Monsato. Either way, RIP.