Profesa Chameleone anunua gari lenye thamani ya bilioni kadhaa!

Mmmmhhhhhhh sitak basi the boss lady Dinazarde kwan hakuna profesa mwanamke!!!!!pro.Anna Tibaijukaa

Mwenzako profesa Anna Tibaijuka uwa anaonekana jukwaa la siasa tu. Wewe uko MMU na Celebrity. Mhhh profesa gani kweli? Hahahaha. Ili unaonaje profesa MMU Dina ...
 
Last edited by a moderator:
hongera zake but all in all yote sawa, mwenye vitara, mwenye hiyo sawa tu
 
Hivi ni prof wa nini kweli huyu chameleone?


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Kwani profesa jay ni profesa wa nini? Ukipata jibu ndio jibu ilo

chamilione ni Profesor? mmh

kwani hamshangai akina profesa money stunna, prof maji marefu n.k!!! hawa mi nadhani watakua ni maprofesa kukata viuno na kuimba maana pia hizi ni fani... embu angalia prof jay yuko kwenye gem miaka zaid ya kumi...haya prof kamilioni yuko kwenye gemu zaidi ya miaka kumi!!!je huu uzoefu haufai kuitwa maprof??
 
ila mbona hilo gari nii kama range rover sport tu..
 

Na mimi niko kwenye madeal yangu na kwenye mitandao zaidi ya miaka 10
 
kuna magari ya mabilioni ila sio escalade
 
Gari ya kawaida sana! Etoó kampiga bao anamiliki Bugatt Veyron la ukweli!!
 
mkuu usipende kurahisisha mambo!...gari la kawaida kuliona,kuliandika,kuligoogle au kulinunua?
Escalade ni gari ya kawaidaa kununua na kulimiliki kama una pesa ya kawaida kabisa wala huhitaji kuwa Bilionea mkuu. Hili ni Gari la kimarekani na tunakariri kuwa magari ya kimarekani ni ya bei mbaya sana. Kwao magari aina hii wanamiliki watu wa kawaida huku magari kama Hummer wakimiliki watu masikini. Naandika hii kwa uhakika na uzoefu maana nimekaa marekani na kujionea mwenyewe.
 
Gari ya kawaida sana! Etoó kampiga bao anamiliki Bugatt Veyron la ukweli!!

Are u serious? yani huyu mvuta bangi unataka umfananishe na Etoo anayelipwa kwa wiki zaidi ya million 200?
 
Gari ya kawaida mnayo??? wabongo bana ndo maana hatubarikiwi kwa roho za korosho.. ajabu nini kumsifia kutokana na kazi yake angeiba mngemsema pia.

Hata kama si ya kawaida, lazima tuwe wakweli unaposema hili gari thamani yake ni Billioni!! Huo si ukweli, hiyo siyo thamani ya hilo gari.... na tunasema la kawaida kwa sababu there is nothing special with it ambacho hatukioni kila siku hapa mjini, it doesnt matter if we can afford it or not... the point there it's not worth A Billion and it is nothing special...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…