TANZIA Profesa Henry Mgombelo wa UDSM afariki dunia

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Mwaka 2016 niliingia ofisini kwake pale CoICT nikitaka aniandikie reference letter nilipokuwa naenda kusoma University of Manchester.

Sasa nikakuta amefungua JamiiForums, anatoa michango yake kwenye majukwaa mbalimbali. Aliwahi kunifundisha kozi kadhaa za Telecom Engineering nilipokuwa CoET.

Pia aliwahi kuwa mbunge huko Tabora miaka ya nyuma. Leo nimeona tangazo kwamba amefariki dunia. Rest in peace prof.

 
Apumzike kwa amani
 

The end of something good💔

Rest well Professor Mgombelo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…