TANZIA Profesa Henry Mgombelo wa UDSM afariki dunia

Poleni sana familia ya Prof. Mgombelo kwa kuondokewa na baba.
 
Acha uhashirati ushaambiwa ameolewa nakwakuongezea tu nikwamba tayari ana watoto wawili.
Nilikuwa nauliza tu na sikuwa na matamanio yoyote ila kusifia neema za mwenyezi Mungu maana ni fundi.
 
Tuko pamoja nao ndugu wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…