Wakuu,
Katika mahojiano na Charles William , Mwenyekiti wa CUF Taifa Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa CHADEMA imekua ikikataa ushirikiano wowote wa kisiasa.
Pia Lipumba alieleza kuwa Tundu Lissu aliyekuwa mgombea wao wa Urais alifikia hatua ya kumuwekea pingamizi ili aenguliwe katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
"Mwaka 2020 niligombea Urais kwa tiketi ya chama cha CUF, dakika ya mwisho sina habari hata ya kuondoka Dodoma, Tundu Lissu kaenda kuniwekea pingamizi. Nikajulishwa kwamba kuna pingamizi.Nataka kuondoka Dodoma kumbe pana pingamizi. Nani kaniwekea? Kaniwekea Tundu Lissu?"