Profesa Janabi: Kama humsamehi yule aliyekukosea jiandae Kuugua Presha na Kisukari kwa pamoja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.

Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
 
Kusamehe ni njia nzuri kupunguza stress pia kuimarisha afya ya akili

Hakuna binadamu aliyemkamilifu wote tunakosea.
One love!
 
Mimi nakosea ila sikosei sana kama ambavyo Wapumbavu fulani Maishani walinikosea na bado wanaendelea kunikosea.
 
Upo sahihi mkuu.
Kwa upande wangu kwakweli siwezi kumsamehe mtu aliyenikosea sana.

Kama ataweza kurejesha uharibifu aliousababisha kitu ambacho sio rahisi, hata msamaha wangu atausikia tu.

Na kama kukiwa na uwezekano wa kummudu nipo tayari kulipiza kisasi.
 
Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.

Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
Uongo Sasa huo
 
Mkuu samahani Wewe ni Mchagaa? Manake nimeona msisitizo zaidi umewekwa hapo katika Kurejesha kilichoharibiwa nae.
 
😁😁
Mkuu, mimi sio mchaga.
Kurejesha kilichoharibiwa inaweza kuwa chochote ukiachana na mali.
1. Utu
2. Uaminifu
3. Kazi
4. Afya
Hivyo, kama ana uwezo wa kuvirejesha basi nitamsamehe, lakini kama hana siwezi kumsamehe daima.
 
Hakika Mkuu.
 
Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.

Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
Dogo utakuwa umegongewa na kuchapiwa tu. Hayo ndo makosa tu hayasameheki.

Si unamuona siku hizi Masanja na DC Kibaha walivyopooza hakuna kuposti posti kusifia kama zamani.

N de A
 
Janabi yupo sahihi, mimi kati ya vitu huwa sipotezi muda navyo ni kumuwazia mtu. Ukinikosea nikaweza kuji control kipindi cha hasira basi hasira zikiniisha naku ignore nakuweka kwenye kundi la viazi.
 
mimi siwezi kumsamehe, mtu aliyenikosea , tena ukileta ujuaji nakua na roho mbaya zaidi na lazima nikupige tukio la dharau ambalo utalikumbuka milele ukinikwaza zaidi nawaza tofauti
 
Back
Top Bottom