GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi huwa siwalipizii Kisasi physically ila sijui kwanini huwa nikiwasemea kwa Mungu ndani ya muda wanaathirika sana.Walionikosea lazima nilipize kisasi
Kwangu Mimi kusamehe kunategemeana na aina ya Kosa na Mtu mwenyewe na akiwa ni Yanga SC simsamehi kabisa!!!!Mi sisamehi kabisaaa, bora nife kuliko kusamehe
Mimi nakosea ila sikosei sana kama ambavyo Wapumbavu fulani Maishani walinikosea na bado wanaendelea kunikosea.Kusamehe ni njia nzuri kupunguza stress pia kuimarisha afya ya akili
Hakuna binadamu aliyemkamilifu wote tunakosea.
One love!
Uongo Sasa huoProfesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.
Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
Mkuu samahani Wewe ni Mchagaa? Manake nimeona msisitizo zaidi umewekwa hapo katika Kurejesha kilichoharibiwa nae.Upo sahihi mkuu.
Kwa upande wangu kwakweli siwezi kumsamehe mtu aliyenikosea sana.
Kama ataweza kurejesha uharibifu aliousababisha kitu ambacho sio rahisi, hata msamaha wangu atausikia tu.
Na kama kukiwa na uwezekano wa kummudu nipo tayari kulipiza kisasi.
Mkuu vipi Wewe huwa unasamehe?yule mzee nayeye atulie anataka kuwa kama spika!
ππMkuu samahani Wewe ni Mchagaa? Manake nimeona msisitizo zaidi umewekwa hapo katika Kurejesha kilichoharibiwa nae.
Hakika Mkuu.ππ
Mkuu, mimi sio mchaga.
Kurejesha kilichoharibiwa inaweza kuwa chochote ukiachana na mali.
1. Utu
2. Uaminifu
3. Kazi
4. Afya
Hivyo, kama ana uwezo wa kuvirejesha basi nitamsamehe, lakini kama hana siwezi kumsamehe daima.
inategemea nakosa makosa mengine mtu anachezea kichapo tu..!Mkuu vipi Wewe huwa unasamehe?
Dogo utakuwa umegongewa na kuchapiwa tu. Hayo ndo makosa tu hayasameheki.Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.
Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.