Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Moja ya Jambo ambalo wanasiasa na Viongozi wengi wameshindwa ni "KUISHI".
Watu wengi wanaopata nafasi au uungwaji mkono wamekuwa wepesi kukengeuka na kuacha kuthamini waliochini Yao matokeo yake wanawageuza wenzao kuwa tambara bovu (kifutio Cha uchafu)
Nimeangalia mwitikio wa wananchi kwenye michango naamini hata wale waliokuwa wapinzani wake wa kisiasa na ukatili wote waliomfanyia kwenye election wamegundua Pofesa anaishi na watu vizuri. Amepata tatizo anapata msaada kitaifa siyo kichama, maana yake ni kwamba huyu mtu anaishi vizuri miyoyoni mwetu na hatuna baya tunaloweza kumuhukumu nalo. Please TUISHI.
Niwaombe pamoja na mambo yote tumweke kwenye maombi apone lakini pia ndugu zangu wanasiasa achaneni na vyama tafteni Kuishi. CCM haina msaada kwenye shida,msaada upo Kwa wananchi. Ukiishi nao wataishi na wewe nakukuombea heri ukiwa Duniani au hata huko tusipopajua. UKIISHI unaipata wafariji kwenye shida....TUISHI
Haya mambo unapewa madaraka unawasabaya makonda watu tuachane nayo hayana tija kwako Wala familia na pia Taifa. Unaweza ukanyanyasa watu ulete maendeleo mwisho unajikuta hakuna maendeleo maana chuki imewajaa uliowapelekea maendeleo
TUAMUE BORA TUWE MASKINI ILA TUISHI, KULIKO KUWA MATAJIRI KWA KUTESA WATU.