Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Aidan Kabudi, amesema Tanzania ina mpango wa kuutangaza muziki wa Singeli kimataifa ili kuufanya kuwa alama ya utambulisho wa Mtanzania.
Kabudi alitoa kauli hiyo leo alipotembelea Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), ambapo alipokelewa na wafanyakazi mbalimbali wa taasisi hiyo.
My take:
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Profesa Kabudi, ambaye kumbukumbu zinaonyesha kwamba hajawahi kucheza singeli mahali popote kwao Morogoro wala Dar es Salaam, Ametangaza kuipeleka Singeli (Muziki wa Wasela) Duniani kote.
Bali hakusema mbinu ambayo atatumia kusambaza muziki huo wa Uswahili na usio na maadili ili ukubalike Duniani, ambapo nyimbo yake Maarufu inaitwa "Hainaga Ushemeji"
Zaidi Mh Kabudi huyu hapa