Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Aidan Kabudi, amesema Tanzania ina mpango wa kuutangaza muziki wa Singeli kimataifa ili kuufanya kuwa alama ya utambulisho wa Mtanzania.
Kabudi alitoa kauli hiyo leo alipotembelea Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), ambapo alipokelewa na wafanyakazi mbalimbali wa taasisi hiyo.
My take:
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Profesa Kabudi, ambaye kumbukumbu zinaonyesha kwamba hajawahi kucheza singeli mahali popote kwao Morogoro wala Dar es Salaam, Ametangaza kuipeleka Singeli (Muziki wa Wasela) Duniani kote.
Bali hakusema mbinu ambayo atatumia kusambaza muziki huo wa Uswahili na usio na maadili ili ukubalike Duniani, ambapo nyimbo yake Maarufu inaitwa "Hainaga Ushemeji"

Hivi huyu profesa alisoma nini kwenye degree zake hizo? Mimi naona ni matakataka tu.
Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu na taarab yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaiwaheshimu, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanacheza bila chupi, halafu wanawake lazima washike ardhi huku mikundu wameacha juu wakinengua