Profesa Kabudi, Tanzania imewahi kushindwa vita nyingi tu

We muache anadhani EU kuna mawakala wa upinzani wawazuie kuingia ndani au ni ma box ya kura zilizomwagika mtaani
 
Asante mkuu.
Vikwazo vinahusika ili tusije tukawa mfano mbaya kwa vinchi vingine vyenye vidicteta uchwara kama hili la kwetu. Jamaa wametumia nguvu nyingi kurudisha mfumo wa vyama vingi Africa hawawezi kubali ufe kirahisi kwa kisingizio cha uzalendo wa kupora KOROSHO za WAKULIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…