Profesa Kindiki: Kila askari Polisi atabeba Msalaba wake mwenyewe, mimi siwezi Kujiuzulu kwa Makosa ya Polisi, never!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Prof Kindiki amesema yeye hawezi Kujiuzulu kwa Makosa ya Polisi kuuwa Waandamanaji

Kindiki amesema kila askari Polisi atabeba Msalaba wake mwenyewe

Kindiki amesema Yeye kama Waziri ni Mwanasiasa na yote ayatendayo ni kwa mujibu wa Katiba na sheria na anaweza Kujiuzulu endapo tu atakuwa amevunja Katiba

Source: Citizen TV
 
Kwaiyo anadhani katiba ni mbao au meza ya kioo akivunja ndo anajiudhuru.........viongoz wengi wa kiasa hawajui maana ya kuvunja katiba
Ccm oyeeeeeee
 
Prof Kindiki amesema yeye hawezi Kujiuzulu kwa Makosa ya Polisi kuuwa Waandamanaji

Kindiki amesema kila askari Polisi atabeba Msalaba wake mwenyewe

Kindiki amesema Yeye kama Waziri ni Mwanasiasa na yote ayatendayo ni kwa mujibu wa Katiba na sheria na anaweza Kujiuzulu endapo tu atakuwa amevunja Katiba

Source: Citizen TV
Amefanya vyema.

Kila mtu abebe msalaba wake.
Askari Polisi walioua Waandamanaji watundikwe msalabani ili wasulubiwe.

"Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is bad for the gunners."

Also, action and reaction are equal but opposite in direction.

The Killer Police Officers must reap what they sow.
 
Prof Kindiki amesema yeye hawezi Kujiuzulu kwa Makosa ya Polisi kuuwa Waandamanaji

Kindiki amesema kila askari Polisi atabeba Msalaba wake mwenyewe

Kindiki amesema Yeye kama Waziri ni Mwanasiasa na yote ayatendayo ni kwa mujibu wa Katiba na sheria na anaweza Kujiuzulu endapo tu atakuwa amevunja Katiba

Source: Citizen TV
Ameshafanyiwa vetting?
 
Back
Top Bottom