Profesa Kithure hana sifa kuwa Naibu Rais, 2020 bunge la senate lilimpigia kura ya kukosa imani naye na kisha kumtimua nafasi unaibu Spika

Profesa Kithure hana sifa kuwa Naibu Rais, 2020 bunge la senate lilimpigia kura ya kukosa imani naye na kisha kumtimua nafasi unaibu Spika

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Moderator nikuombe usiunganishe Uzi kwingineko kwani unajadili ukiukaji Katiba


Wadau hamjamboni nyote?

Naamini Katiba ya Kenya imekiukwa uteuzi Naibu Rais

Nimeshangaa kuona mtu aliyewahi kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani na bunge la senate 2020 kisha kufukuzwa kwenye nafasi ya Naibu Spika anateuliwa tena kuwa Naibu wa Rais

Naomba wanazuoni wa sheria mtupe mwongozo wa kikatiba kuhusu suala hili

Niwatakie siku njema
Sasa hivi wana imani naye yaliyopita si ndwele

Bunge limempitisha kwa kura zote za wabunge wote kuwa naibu Raisi anasubiri sasa kuapishwa tu
 
Unapoteza tu muda bunge tayari limeshamuidhinisha hoja zako hazina maana yeyote mleta mada

Parliament approves Kindiki's appointment as Deputy President, set to be sworn in

The National Assembly has approved the nomination of Prof. Kithure Kindiki as Deputy President.

Kindiki’s nomination was overwhelmingly supported by a majority of 236 MPs, with no legislator opposing or abstaining.

Following the approval by the National Assembly, President William Ruto will officially appoint Kindiki as deputy president after which he will take the oath of office.

Upon being sworn in, Kindiki takes over as the country's second in command, replacing former Deputy President Rigathi Gachagua, who was impeached by Parliament.
 
Ila Ruto ni msanii sana ila ukweli ni kwamba Kenya haijapata tiba ya ukabila bado
 
Back
Top Bottom