Uchaguzi 2020 Profesa Kitila Mkumbo achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kumteua kugombea Ubunge Ubungo

Uchaguzi 2020 Profesa Kitila Mkumbo achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kumteua kugombea Ubunge Ubungo

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.

Kitila Mkumbo.jpg

mkumbo.jpg
 
Amemkimbia mwigulu ila poa sana amtoe kubenea
 
Ubunge mtamu; ndiyo maana wabunge wa kuukosa wanasikitika lakini nimesoma kuwa Mnyika kakwepa kuingia ulingoni tena.
 
Huyu mbona hajatumbuliwa na magu?nafasi yake bado ipo wazi
 
Back
Top Bottom