Profesa Kitila Mkumbo: Bei za vifaa vya Ujenzi hazijapanda kwa wazalishaji labda wanaoongeza bei ni hawa Wasambazaji

Profesa Kitila Mkumbo: Bei za vifaa vya Ujenzi hazijapanda kwa wazalishaji labda wanaoongeza bei ni hawa Wasambazaji

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila Mkumbo ametolea ufafanuzi taarifa zinazozagaa mitandaoni kwamba bei za Vifaa vya ujenzi zimepanda.

Kitila amesema viwandani ambako ndiko bidhaa zinakozalishwa bei hazijapanda ziko vile vile so kama kuna maeneo machache bei ziko juu basi itakuwa ni zinaongezwa na Wasambazaji isivyo halali.

Biashara.jpg
 
Bei za vitu vingi zimepanda, sio za vifaa vya ujenzi pekee, viongozi wajitafakari, maisha ya mtanzania yanazidi kuwa magumu, na hapa ndio thamani ya kiongozi itaonekana, sio kila siku kupeana hotuba za matumaini tu.
 
Bei za vitu vingi zimepanda, sio za vifaa vya ujenzi pekee, viongozi wajitafakari, maisha ya mtanzania yanazidi kuwa magumu, na hapa ndio thamani ya kiongozi itaonekana, sio kila siku kupeana hotuba za matumaini tu.
Mawaziri wa Fedha na Biashara ambao wanatoka kijiji kimoja nadhani wamekusikia!
 
Mtu akiingia CCM anakuaga lofa, ukipandisha bei ya mafuta ya gari, ukaweka tozo kwenye miamala, na kodi kwa wafanya biashara tayari utakua umepadisha bei ya vitu kwa final consumer. Sio lzma wapandishe kule viwandani.
 
Kama ni hivyo basi ni hivi wenyewe viwanda wanauza kiwandani kwa bei elekezi toka hapo wana sapply wenyewe kwa kuizunguka serikali ila kitila haijakubali maelezo yako nazan unatuhujumu
 
Atachunguza nini na atamchungza nani ni siri ambayo wewe na mimi hatujui, na kama baada ya uchunguzi huo tutapewa majibu au itabaki kuwa siri yake kama moto wa soko la kariakoo ulivyobaki kuwa siri ya waziri mkuu, hakuna ajuaye.

FB_IMG_1637849628083.jpg


Chanzo : ITV
 
Hakika inashangaza kauli hii kutolewa na wenye mamlaka View attachment 2023587
Amesahau kuwa serikali anayoitumikia imeapa na kutangaza waziwazi kuwa kipaumbele chake ni wafanya biashara, au anajisahaulisha tu mwenyewe!

Alikuwa waziri huyu wakati 'Maza Mizinguo' anatembelea Nairobi alikokwenda kupata semina toka kwa akina Rostam na wengine?
 
Back
Top Bottom