johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mawaziri wa Fedha na Biashara ambao wanatoka kijiji kimoja nadhani wamekusikia!Bei za vitu vingi zimepanda, sio za vifaa vya ujenzi pekee, viongozi wajitafakari, maisha ya mtanzania yanazidi kuwa magumu, na hapa ndio thamani ya kiongozi itaonekana, sio kila siku kupeana hotuba za matumaini tu.
Serikali itatoa bei elekezi kila mwezi!Ni Prof huyo, aende viwandani cement ,nondo hazikamatiki
Kwa hiyo hawajui kinachoendelea kwenye Nchi wanayoitawala
Si ana PhD huyu?Hakika inashangaza kauli hii kutolewa na wenye mamlaka View attachment 2023587
Amesahau kuwa serikali anayoitumikia imeapa na kutangaza waziwazi kuwa kipaumbele chake ni wafanya biashara, au anajisahaulisha tu mwenyewe!Hakika inashangaza kauli hii kutolewa na wenye mamlaka View attachment 2023587
Mawaziri wa Fedha na Biashara ambao wanatoka kijiji kimoja nadhani wamekusikia!
Si ana PhD huyu?
Kama ya Jaffo!Si ana PhD huyu?