Profesa Kitila Mkumbo: Bei za vifaa vya Ujenzi hazijapanda kwa wazalishaji labda wanaoongeza bei ni hawa Wasambazaji

Huyu naye ni Profesa kweli? Mbona anatia aibu hivi? Hivi unapopandisha kodi kwenye mafuta unategemea nini? unapoweka kodi kwenye bidhaa unategemea nini? Sasa hili nalo linahitaji ucuhunguzi kweli jamani?
 
Kwahiyo maduka yote Dar es salaam wamiliki wote wa maduka ya vifaa vya ujenzi wamekuliana waongeze bei za bidhaa zao?
Sh eeenz taipu
 
Its very unfortunate the answers are on his desk. Asitudanganye hapa, kina vitu vingine ukivigusa automatically affects goods prices. Azungumze na jirani yake Waziri wa fedha.
 
Umeme wenyewe haueleweki na mafuta kila siku yana panda so lazima vitu vipande.
 
Huyu naye ni Profesa kweli? Mbona anatia aibu hivi? Hivi unapopandisha kodi kwenye mafuta unategemea nini? unapoweka kodi kwenye bidhaa unategemea nini? Sasa hili nalo linahitaji ucuhunguzi kweli jamani?
Prof. wa education bro, mambo ya uchumi na biashara wapi na wapi hii ni bongoland. Just going circles as usual.
 
Ahamie Umoja Party Ili wawe wanapamga bei wao..

Watu hawali vifaa vya ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…