Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
'Sycophants' wanaoweka pembeni kabisa akili zao, ili mradi wajaze tumbo!"Wakati wa uchaguzi kama huu, maneno maneno lazima yawepo, lakini mama yupo imara, amestahimili, kwa dua zenu Mungu pia hatamuacha, atasimama naye na tutavuka salama tarehe 29 Oktoba na nchi yetu itasonga mbele" -Prof. Kitila
Huyu siyo "mjinga", huyu ni mpumbavu hasa; kwa maana si kwamba hajui kuhusu ushiriki wake katika uovu; anajuwa vizuri kabisa.Zamani nilimuonaga huyu jamaa ana akili, baada yakukaa kwenye meza na watawala amekua mjinga mjinga sana.
Itafaa pawepo na utaratibu wa kuwatambua michango yao hawa wasomi katika kuwakandamiza waTanzania. Ni mhimu pawepo na kumbukumbu inayo elezea michango yao hiyo, ili historia ibaki ikiwatambua hivyo.Kuteka watu na kuuwa ni maneno maneno sawa Professor . Yaani ndiyo wasomi wetu hawa eti!
Huyu Kitila Mkumbo tangu afuate mkumbo wa CCM akili zake zimekuwa za ovyo sana. Mungu gani atampitisha Samia? Mungu wenu feki.....Hivi muuaji huyu anamjua Mungu gani?
Kitila inatakiwa kunyanganywa vyeti vyote alivyopata UDSM , Udsm university haikuwai zalisha watu wa hovyo , anyanganywe haraka sana ,hii ni haibu kwa chuo ambacho kimetoa viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa ."Wakati wa uchaguzi kama huu, maneno maneno lazima yawepo, lakini mama yupo imara, amestahimili, kwa dua zenu Mungu pia hatamuacha, atasimama naye na tutavuka salama tarehe 29 Oktoba na nchi yetu itasonga mbele" -Prof. Kitila
Prof. Kitila ameeleza hayo Oktoba 09.2025, kwenye kongamano la dua ya kuliombea Taifa kuelekea uchaguzi mkuu, lililo andaliwa na Jumuiya ya Wanawake wa kiislamu Tanzania (JUWAKITA) na kufanyika katika ukumbi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Manzese
Ukitaka kujua tabia ya mtu subili apate pesaZamani nilimuonaga huyu jamaa ana akili, baada yakukaa kwenye meza na watawala amekua mjinga mjinga sana.
Kweli kabisa👏👏Itafaa pawepo na utaratibu wa kuwatambua michango yao hawa wasomi katika kuwakandamiza waTanzania. Ni mhimu pawepo na kumbukumbu inayo elezea michango yao hiyo, ili historia ibaki ikiwatambua hivyo