Jina la chuo halijatendewa haki, wapatikane academic staff wenye ranks za juu
Professa ni Elimu ya juu kabisa katika taasisi ya Elimu kama Chuo/Chuo Kikuuu, hivyo kiongozi wake ni vema awe na elimu hiyo ili aweze kuonyesha njia kutokana na uwezo wake.Wewe maoni yako ni nini kama umeelewa?hivi chuo ili kiwe chuo lazima kiwe na professa au......maana sijakuelewa!!!!!!!!!!
Tatizo la Udom si Uprofessa ila tatizo ni udini, ubaguzi na upendeleo.Angalia pana Udom mwanafunzi anaweza kufelishwa kwa kuwa ni ndugu wa fulani au mfuasi wa chama fulani.Udom mfanyakazi anapatikana kindugu/kidini na mshahara mkubwa ni hivyohivyo, hivyo vyote havina uhusiano na Uprofessa wa Mkuu wa Chuo ila ubinafsi tu.Kwa ujumla tunategemea kuwa katika Vyuo wale wanaoongoza wawe na elimu ya juu ambayo ni uprofessa kwani vyuo vinahusika na utafiti, ufundishaji na ushauri.Udom kuna maprofesa katika safu yote ya juu lakini ni janag la kitaifa
Mkuu wa Chuo mwenye ekimu kiwango cha Professa ataweza kuikwamua Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere Kigamboni ili kiwe Chuo cha mfano Afrika Mashariki na Kati.Wahusika wangezingatia hilo kwani Chuo hicho kina Hostoria ya kuwatoa viongozi wa nchi. Chuo hicho bado hakina Mkuu wa Chuo kutokana na aliyekuwepo kumaliza muda wake. WanaJF mnaoifahamu Chuo hicho mna maoni gani juu ya hili kwa mamlaka husika?

Hili ndilo suluhisho kwa kuikwamua Chuo hicho.Mkuu wa Chuo mwenye ekimu kiwango cha Professa ataweza kuikwamua Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere Kigamboni ili kiwe Chuo cha mfano Afrika Mashariki na Kati.Wahusika wangezingatia hilo kwani Chuo hicho kina Hostoria ya kuwatoa viongozi wa nchi. Chuo hicho bado hakina Mkuu wa Chuo kutokana na aliyekuwepo kumaliza muda wake. WanaJF mnaoifahamu Chuo hicho mna maoni gani juu ya hili kwa mamlaka husika?
Professa ni Elimu ya juu kabisa katika taasisi ya Elimu kama Chuo/Chuo Kikuuu, hivyo kiongozi wake ni vema awe na elimu hiyo ili aweze kuonyesha njia kutokana na uwezo wake.Wewe maoni yako ni nini kama umeelewa?