Uchaguzi 2020 Profesa Lipumba akiwa Karagwe: Tutawahudumia wazee waliolitumikia Taifa letu

Uchaguzi 2020 Profesa Lipumba akiwa Karagwe: Tutawahudumia wazee waliolitumikia Taifa letu

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
IMG_20200924_190157_109.jpg
TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF.LIPUMBA"

KARAGWE,KAGERA.

Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya kulitumikia Taifa letu kwa muda mrefu wanaishi katika dimbwi la umasikini wa kutisha.

Hatua kwa hatua kila mzee atakuwa na haki ya kulipwa kila mwezi fao la uzee kwa ajili ya afya na hifadhi yake.
 
Picture merging kwanini? Mhutubi na hadhira haviendani
 
Back
Top Bottom