Pre GE2025 Profesa Lipumba anadai hakutaka kuendelea na Uenyekiti baada ya miaka 25 ila wanachama walimlazimisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Huyu si aliwahi kujiudhuru uenyekiti na kujirudisha tena kwa kujifungia ofisini au mimi ndo nimesahau??
 
Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake.
View attachment 3259684
Huu ni unafiki mkubwa sana.

Huyo ni Mamluki ambaye yupo kwa ajili ya kuvuruga harakati za kweli za kupigania mabadiliko ya kweli ya Kidemokrasia na Haki hapa nchini
 
Bongo nyosso, akae pembeni hizo ruzuku amuachie nani ??? Kama kule visiwani ruzuku kichele
 
Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake.
View attachment 3259684
Soma Pre GE2025 - Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida khenani asema fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM wala siyo za 'baba zao' ni kodi za wananchi
Hii nchi inawachekeshaji wengi sana adi maprofessa, nimecheka sana baada ya kusoma tu hii title
 
Kwenye One on One with Charles William, Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema baada ya kuongoza chama hicho kwa miaka 25, hakutaka kuendelea kuwa mwenyekiti lakini wanachama wa chama hicho walimuomba na kumlazimisha.

Mzee mwongo sana huyu, tunamjua ni project ya CCM huyu, aliikacha CUF katikati ya uchaguzi kisha akarudi kuivuruga kwa msaada wa Msajili wa vyama, zee kama hili ni la kuchoma moto tu, angalia sura ilivyomshuka kama ametoka kutoa mimba vile.
 
Amehakikisha CUF imekufa
 
Mbowe naye hakutaka kugombea, ni wale wanachama walioandamana hadi nyumbani kwake kumlazimisha agombee.
 
Back
Top Bottom