the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Hata DJ naye alikuja na mchezo huo huo, ila Propesa amechoka kinoma.Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchi wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu.
View attachment 3259684
Huu ni unafiki mkubwa sana.Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake.
View attachment 3259684
Huyo ni project ya CCMHuyu si aliwahi kujiudhuru uenyekiti na kujirudisha tena kwa kujifungia ofisini au mimi ndo nimesahau??
Hii nchi inawachekeshaji wengi sana adi maprofessa, nimecheka sana baada ya kusoma tu hii titleMwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake.
View attachment 3259684
Soma Pre GE2025 - Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida khenani asema fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM wala siyo za 'baba zao' ni kodi za wananchi
Mzee mwongo sana huyu, tunamjua ni project ya CCM huyu, aliikacha CUF katikati ya uchaguzi kisha akarudi kuivuruga kwa msaada wa Msajili wa vyama, zee kama hili ni la kuchoma moto tu, angalia sura ilivyomshuka kama ametoka kutoa mimba vile.Kwenye One on One with Charles William, Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema baada ya kuongoza chama hicho kwa miaka 25, hakutaka kuendelea kuwa mwenyekiti lakini wanachama wa chama hicho walimuomba na kumlazimisha.
Chama chenyewe kimechoka haswaπππ janja janja ya wazee wasiotaka kung'atuka mpaka vifo viwang'atue.
Mimi ndio kwanza nimekikumbuka leo baada ya kupita kama miaka 10 hivi.Chama chenyewe kimechoka haswa
Amehakikisha CUF imekufaMzee mwongo sana huyu, tunamjua ni project ya CCM huyu, aliikacha CUF katikati ya uchaguzi kisha akarudi kuivuruga kwa msaada wa Msajili wa vyama, zee kama hili ni la kuchoma moto tu, angalia sura ilivyomshuka kama ametoka kutoa mimba vile.
Ni hakipo kabisaMimi ndio kwanza nimekikumbuka leo baada ya kupita kama miaka 10 hivi.
Nyokoooooo.....kabisaa bora angekaa kimyaaaaKwenye One on One with Charles William, Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema baada ya kuongoza chama hicho kwa miaka 25, hakutaka kuendelea kuwa mwenyekiti lakini wanachama wa chama hicho walimuomba na kumlazimisha.