Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna sababu yoyote ya msingi kuchelewesha mchakato.
Umeelewa nn alichosema lipumbaLipumba angemkaribisha CUF Dr. Balozi Slaa
Hicho kisingizio cha elimu ya uraia ni kwa mannufaa ya CCM, wanataka waendelee kuvuta muda mpaka ufike wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, ili hii Katiba mbovu iliyopo iwabebe iwape ushindi, ni kisingizio cha kijinga kisicho na maana kabisa.
Ni bora waufufue UKAWA ili tuungane kwa pamoja kudai KATIBA MPYA kabla ya Uchaguzi Mkuu ujaoLipumba angemkaribisha CUF Dr. Balozi Slaa
Kabla ya kuandika hii katiba mwaka 1977 mlitoa elimu ya uraia kwa miaka mingapi ?Prof, acha uchochezi, elimu ni muhimu maana sisi CCM tumeona wananchi wengi hawaielewi katiba iliyopo na hata ile wanayoitaka itakuwaje.
Miaka 3 tunaona itawatosha, baada ya hapo ndipo tutaanza mchakato rasmi wa Katiba mpya.
Kidumu chama cha Mapinduzi......
Naunga mkono kauli ya Prof. Lipu!! Mambo ya miaka mitatu ni ili muda wa uongoz ukaribie Kwisha ili aachiwe ataefuata hili zigo la katiba!!Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna sababu yoyote ya msingi kuchelewesha mchakato.
View attachment 2738598
Profesa Lipumba
Lipumba angemkaribisha CUF Dr. Balozi Slaa