CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
PROF. LIPUMBA KUREJESHA FOMU (NEC) KESHO AGOSTI 25, 2020 JIJINI DODOMA
Mgombea urais wa Chama cha Wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba pamoja na Mgombea Mwenza, Hamida Abdallah Huweishi kesho wanatarajia kurejesha fomu katika Ofisi za tume ya taifa ya uchaguzi ( NEC), Njedengwa Jijini Dodoma.
#MchumiTufikishe
#NitasimamaNaCUF