Uchaguzi 2020 Profesa Lipumba: Nichagueni niboreshe maslahi ya walimu

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20200930-210845.png
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIBORESHE MASLAHI YA WALIMU" PROF.LIPUMBA"

SHINYANGA

Mgombea Urais CUF, Prof.Ibrahim Lipumba amesema atakapoingia madarakani atarekebisha muundo wa elimu na kuboresha maslahi ya walimu kwa kuwa walimu ndio wanaotengeneza rasilimali watu wenye tija wanaoweza kuiwezesha nchi kufikia uchumi wa juu.

CHAGUA CUF,

MCHAGUE PROF.LIPUMBA
 
View attachment 1586036NICHAGUENI OKTOBA 28,NIBORESHE MASLAHI YA WALIMU" PROF.LIPUMBA"

Lipumba alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, saa hii amefulia vibaya sana. Lipumba siku zote tulikuwa tunajua hana lolote bali mbeleko ya Seif ilikuwa inambeba. Sasa hivi ndio anajua ukweli kuwa kofia anaivaa imfaaye. Nina uhakika baada ya uchaguzi huu lazima na hii id ipotee jumla. Na ccm waliowaingiza chaka hawana muda na nyinyi maana hamna ushawishi tena.
 
Nataka ni bet Lioumbu kuwa the next president of JMT. Whar are the odds!?
 
View attachment 1586036NICHAGUENI OKTOBA 28,NIBORESHE MASLAHI YA WALIMU" PROF.LIPUMBA"

SHINYANGA

Mgombea Urais CUF, Prof.Ibrahim Lipumba amesema atakapoingia madarakani atarekebisha muundo wa elimu na kuboresha maslahi ya walimu kwa kuwa walimu ndio wanaotengeneza rasilimali watu wenye tija wanaoweza kuiwezesha nchi kufikia uchumi wa juu.

CHAGUA CUF,

MCHAGUE PROF.LIPUMBA
LIPUMBA AMEPITWA NA WAKATI
 
Back
Top Bottom