Pre GE2025 Profesa Lipumba: Nilishawahi kuhutubia mpaka nikapewa mbuzi na wananchi lakini bado nikapata kura 0

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya.

Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0

Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa kuungana na Lissu kwenye ajenda ya No Reforms No Election

Msikilize hapa:

Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: 004
Hajatumia logic kuuliza swali na Lipumba hajajtumia logic kujibu swali

Mwaka 2020 - huu haukuwa uchaguzi halali bali ujanja ujanja hivyo hauwezi ukasema ulipata kura 0 wakati unaelewa kuwa uchaguzi haukuwa wa haki

So hii inaashiria Lipumba na huyo Charz mwandishi wa habari wana upeo mdogo wa kudadavua mambo
 
Sasa naye Lipumba alitakaje apate vyote? Mbuzi wamchinjie ale halafu na kura tena wampe Watakuwa kazi.yao kuhangaika na yeye tu?

Alishakula mbuzi basi inatosha
 
Lyatonga naye alipata kura moja miaka hiyo
 
Halooo hataliiii.... Kuna hitajika tafakuri hapa umuelewe Professor..
 
Kwa hiyo katika nchi nzima akaona aende Kisesa kuomba kura?? Hivi aliwaonaje watu wa Kisesa??

Angetuambia kwanza Buguruni Malapa yaliko makao makuu ya CUF alipata kura ngapi??
 
Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0
Naomba kwanza nicheke hapo kweny zawadi ya mbuzi, yeye alidhani zawadi!!! Asijue wanamfananisha naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…