Profesa Lipumba: Tunakosaje maji wakati hii nchi kila unapochimba chini kuna maji? Ni ubunifu hafifu tu

Profesa Lipumba: Tunakosaje maji wakati hii nchi kila unapochimba chini kuna maji? Ni ubunifu hafifu tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba ameshangazwa kuona Serikali ya CCM inaishiwa maji

Lipumba amesema hii nchi kila unapochimba unapata maji salama sasa kwanini CCM wasijenge tu mabwawa na kumaliza tatizo?

Source ITV habari
 
Bongo ubunifu wetu ndipo ulipoishia. Sasa tufanyeje? Tungekuwa wazawa wa baadhi ya nchi kame, nature ingeshatuondoa kitambo.
 
Hivi Lipumba elimu yake ni kama ya Jiwe au yake siyo fake?
 
Dada zetu wa Kihaya, lakini sio kila mahali pana maji Singida wakavu sana.
Umeniona huyu naye akili imewahi kukimbilia huko.yaani ndio akili ambayo wajukuu wa wajukuu zetu watapita kwenye hizi server za jf na kuona tulichokuwa tunaongea ili wajifunze. Ila dunia tokea kuumbwa nadhani watu Ni mwendo wa kulalamika
Sisi waafrika hasa tz vipawa vyetu ni..

Ngono
Uchawi
Majungu
Uvivu na
Umbea tu basi.
 
Back
Top Bottom