johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda kama anawaongelea Dada zetu wa Kihaya, lakini sio kila mahali pana maji Singida wakavu sana.unapochimba unapata maji
Chadema mna shida sana!Labda kama anawaongelea Dada zetu Wahaya, lakini sio kila mahali wana maji Singida wakavu sana.
Kaingiliwa kivipi?Msababishaji yote haya sio ccm ni lipumba mwenyewe angekua hakuingiliwa na JPM na ccm yenyewe pengine swala la maji Leo asingezungumza tena
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Uwongo sio kazi johnthebaptist, chama chenu ni:-Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba ameshangazwa kuona Serikali ya CCM inaishiwa maji
Lipumba amesema hii nchi kila unapochimba unapata maji salama sasa kwanini CCM wasijenge tu mabwawa na kumaliza tatizo?
Source ITV habari
Wameharibu mazingira asilia, hayo maji yatatoka wapi?Labda kama anawaongelea Dada zetu wa Kihaya, lakini sio kila mahali pana maji Singida wakavu sana.
Labda kama anawaongelea Dada zetu wa Kihaya, lakini sio kila mahali pana maji Singida wakavu sana.
Umeniona huyu naye akili imewahi kukimbilia huko.yaani ndio akili ambayo wajukuu wa wajukuu zetu watapita kwenye hizi server za jf na kuona tulichokuwa tunaongea ili wajifunze. Ila dunia tokea kuumbwa nadhani watu Ni mwendo wa kulalamikaDada zetu wa Kihaya, lakini sio kila mahali pana maji Singida wakavu sana.
Sisi waafrika hasa tz vipawa vyetu ni..
Ngono
Uchawi
Majungu
Uvivu na
Umbea tu basi.
Kununuliwa yeye binafsi na kusababisha CUF kufutika ulimwengu wa siasaKaingiliwa kivipi?
Kayafa aliendekeza hivyo vyote akafa mapema.Sisi waafrika hasa tz vipawa vyetu ni..
Ngono
Uchawi
Majungu
Uvivu na
Umbea tu basi.