Wa Kwanza ni yy kwani aliusaliti kwa upinzani kwa manemane akaenda kigaliKwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza.
Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza...
kwa hiyo awamu ya 5 watuKwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza...
Waliufyata kwa sababu ukinyanyua mdomo, wasiojulikana hao hodi nyumbani.Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza.
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema kiatu cha marehemu Magufuli ni special na hamna wa kuvivaa kwani alikuwa kidume kwelikweli na kila mtu aliufyata na kuogopa kabisa.
Lipumba amesema kwa sababu ya hofu hiyo kuna baadhi ya maprofesa wazima walifikia hatua ya kusema wametolewa jalalani.
And God revenge is very swift.Magufuli was a beast in human image. He has caused several homes to remain with orphans and widows but hopefully, God will do something for them.