Profesa Lipumba: Viatu vya Hayati Magufuli ni special, kila mtu aliufyata

Tanzania tunaongoza kwa unafiki,kama kungekuwa na Medali tungekuwa tunazizoa kila mwaka.

Huyu Mzee aliyekuwa amepangwa amalize upinzani Visiwani leo anaongea nini yarabi?
Hakuna shaka kuwa wewe hujitambui. Au tuseme aidha una chuki binafsi na Prof. Lipumba au nyie ndo wavurugaji wa harakati za kimageuzi.
 
Tanzania tunaongoza kwa unafiki,kama kungekuwa na Medali tungekuwa tunazizoa kila mwaka.

Huyu Mzee aliyekuwa amepangwa amalize upinzani Visiwani leo anaongea nini yarabi?
Hujaelewa Nini? Na yeye aliufyata.
 
Hoja yako imetofautia na heading!
Mama Samia Suluhu Hassa tayari ameshavivaa viatu hivyo na vimekuwa vidogo kwake kwani Mwendazake hakuwahi kufika Marekani lakini Mama ameshatoboa mpaka anga hizo!
Otherwise nawapongeza kina Lipumba kwa jitihada za kudai kaiba mpya. Jambo la msingi ni wapinzani kuunganisha nguvu pamoja badala ya kila mmoja kuhangaika pekeake!
 
Binadamu tuishi vyema duniani ili tukifa tukumbukwe kwa wema sio kama hao wengine wanakumbukwa kwa roho mbaya na ukatili.
 
Katiba mpya haiwezi kuwa Katiba ya wanasiasa,sisi wananchi hatuitaki hiyo Katiba ya watawala ni upumbavu..

Hakuna anayetaka kuvaa viatu vya kihuni vya Magu lakini Katiba mpya itasubiri kwani ni matakwa ya ccm na sio Rais Samia..
 
Ukubwa wa viatu unapimwaje?
 
Mnafiki sana huyo 2025 atapita tena misikitini kumnusuru Hangaya kama alivyofanya kwa JK 2010....
 
Naungana na mama SSH katiba isubiri.
Nasikia harufu ya watu kuupora mchakato mzima. Bora isubiri.
 
Lipumba kafufuka?
 
Huyu huyu aliekuwa anatokwa jasho lililojaa kwenye Shati na viatu vilivyopauka
Kweli watu wanajua kusahau mambo yao au kujisahaulisha sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…