Profesa Lipumba: Viatu vya Hayati Magufuli ni special, kila mtu aliufyata

Magufuli hakuwa mtu wa mchezo,yaani vizazi na vizazi vitamkumbuka Haki!

Yaani alitujulia Waafrika maana tumezoea blaa blaa nyingi na uvivu. Mtu unaenda Ofisni jitu linakuwa na nyodo kama mbuzi,wakati linalipwa kwa kodi yako, kwa Magu ukizogoa tu anakupiga chini wala hakuwa na masihara!

Yaani huyu mzee sjui alienda kwa mganga gani maana akina Kikwete walibakia kupiga vijembe tu lkn hawakuthubutu kukohoa!

Nenda Mwamba,jiwe a real Pan-Africanist, ambaye tayari ulikuwa unaibadilisha SADC kuwa dola jipya la Kiswahili!
 
Wametolewa jalalani! Aibu tupu!
 
Lakini ukweli lazima usemwe.....Magufuli aliwanyorosha kisawa sawa.

Magufuli was a no nonsense man. Hakuna Mbwa ilibweka mbele yake, Vimbwa koko vilikimbilia kwa majirani na kwenda kubwekea huko huko.

Sometimes huwa namkubali sana Mwendazake.
 
Mnafiki sana huyo 2025 atapita tena misikitini kumnusuru Hangaya kama alivyofanya kwa JK 2010....
Itamlazimu afanye hivyo endapo maaskofu watatoa waraka kwa waumini unaolekeza kuchagua mkristo. Ni kama vile alivyofanya Edward Lowassa kanisani kule Tabora kwenye uchaguzi wa 2015.
 
Profesa Lipumba,Mzee wa Nafsi Imenisuta...Hahaha Mzee msanii sana huyu
 
Hahahah huyu ndo Lipumba reprofeseli
 
Nawadharau sana maprofesa hasa kabudi
 
Nawadharau sana maprofesa hasa kabudi
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Acha Propaganda za uongo.
 
Wapinzani watanzania ni wachumia tumbo wanacholilia viti vyao warudi bungeni wapige maisha hawana muda na maslahi ya wananchi
 
Ibrahim Nguyuru Lipumba ni mganga njaa; hamna siasa hapo! Anangojea ccm wanamkatia mpunga basi anakwenda kuwasaliti wenzie. Ndio genge hilo hilo la wakina Mbatia na Zitto Kabwe. Don't trust these dudes.
Hata Mbowe alitusaliti wapenda mabadiriko,alipomuzia nafasi ya kugombea urais Lowassa, Wapinzani wote hapa Nchini ni njaa Kali,aliisha wai sema Makamba akiwa Mwenyekiti wa chama' Ccm'kuwa ukitaka kuona mpinzani wa kweli Tanzania penyeza rupia,tuliyaona 2015 wakina Lissu,Myika,Msingwa waligeuka wote wakaanza kuramba matapishi yao, baada ya kupenyezewa lupia 🤣🤣🤣
 
Kweli kabisa mkuu
 
Kidume hicho kilikuwa hakina mchezo kwenye kazi.
Kidume gani alikuwa na Betrii kwenye moyo akaona auwe watu wengi ili awatangulize Misery love's company

Hakuna Raisi wa hovyo kama huyo jinamizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…