mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Mbunge wa Rombo Mkoani Kilimanjaro ambae pia ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara yake yakufanya Mikutano ya hadhara ili kusikiliza kero za wananchi pamoja nakuwaeleza yale ambayo yamefanyika katika Jimbo hilo kwa kipindi cha miaka minne tangu awe Mbunge.
Katika ziara hiyo Prof. Mkenda amefanya Mkutano wa hadhara katika Kata ya Keni Aleni ambapo amesema kuwa Serikali inaendelea na uboreshaji wa miundombinu katika Shule zote Chakavu kati wilaya hiyo.
Katika ziara hiyo Prof. Mkenda amefanya Mkutano wa hadhara katika Kata ya Keni Aleni ambapo amesema kuwa Serikali inaendelea na uboreshaji wa miundombinu katika Shule zote Chakavu kati wilaya hiyo.