Profesa Mohamed Abdulrahman Babu

Profesa Mohamed Abdulrahman Babu

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,954
Msomi, mwanamapinduzi na mwanaharakari. Pichani akiwa na Che Guevara na Malcom X. Ndege wafananao huruka pamoja.

1353989n.jpg
608px-A.M._Babu_and_Che_Guevara.jpg
f1957d96d27f4f3d2c91333638d65042.jpg
DYjCasYXcAAb1mi.jpg
 
Msomi, mwanamapinduzi na mwanaharakari. Pichani akiwa na Che Guevara na Malcom X. Ndege wafananao huruka pamoja.

View attachment 2410464View attachment 2410465View attachment 2410466View attachment 2410467
Mohamed Babu ndiye alimpa Nyerere mchongo kuwa aende akaombe Wachina wamsaidie kujenga TAZARA.

Nyerere alikuwa ni Msocial democrats na rafiki wa karibu wa JFK, pengine JF Kennedy asingeuwawa tungekuwa na ukaribu sana na Wamarekani kuliko Wakomunisti wa Kichina
 
Aliandika kitabu kinaitwa ' African socialism or Socialism Africa'? kama sijakosea hiyo Tittle kilikuwa kimeshiba madini
hawa ndiyo walikuwa wajamaa sasa .... siyo hawa wanaovaa scaf, wanahubiri uzalendo wakati makampuni yao yanapewa tenda kubwakubwa bila hata ushindani wa wazi
 
Back
Top Bottom