Aliandika kitabu kinaitwa ' African socialism or Socialism Africa'? kama sijakosea hiyo Tittle kilikuwa kimeshiba madini
hawa ndiyo walikuwa wajamaa sasa .... siyo hawa wanaovaa scaf, wanahubiri uzalendo wakati makampuni yao yanapewa tenda kubwakubwa bila hata ushindani wa wazi