Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kumbe CCM inavyama vya chini chini vingi!Rais wa taasisi ya International Peace Information (I.P.I) inayojihusisha na masuala ya elimu ya utunzaji wa amani nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki, Profesa Wilson George Munguza, amesema kuwa taasisi hiyo iko tayari kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini katika kulinda na kudumisha amani ya taifa.
Amesema katika makao makuu ya taasisi hiyo yaliyopo Temeke, Dar es Salaam, Profesa Munguza ameeleza kuwa taasisi hiyo haitakubali kuona mtu yeyote- mwenyeji au mgeni akijaribu kuivuruga amani ya Tanzania.
Profesa huyo amebainisha kuwa moja ya majukumu makuu ya I.P.I ni kutoa taarifa kuhusu viashiria vya uvunjifu wa amani mapema, ili hatua za haraka zichukuliwe na mamlaka husika. Amesisitiza kuwa utulivu wa taifa ni jambo lisilopaswa kuchezewa wala kubezwa na ni wajibu wa kila raia kulilinda.
Aidha, Prof. Munguza ameunga mkono na kupongeza kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa hivi karibuni akiwakemea watu wenye nia mbaya wanaojaribu kuingia nchini kinyume cha taratibu, akisema kauli hiyo ni ya kizalendo na inalinda maslahi ya taifa.
Katika hatua nyingine, Profesa Munguza amewataka wananchi kuwa wazalendo kwa vitendo, kusimama imara katika kila kona ya nchi na kuendelea kuwa walinzi wa amani kama ilivyoasisiwa na viongozi wa taifa tangu kupata uhuru.
Source: Mwanahabari digital
ila kwa wanaopoteza, kuwavunja miguu na kuwaua wananchi hamna cha kusemaRais wa taasisi ya International Peace Information (I.P.I) inayojihusisha na masuala ya elimu ya utunzaji wa amani nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki, Profesa Wilson George Munguza, amesema kuwa taasisi hiyo iko tayari kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini katika kulinda na kudumisha amani ya taifa.
Amesema katika makao makuu ya taasisi hiyo yaliyopo Temeke, Dar es Salaam, Profesa Munguza ameeleza kuwa taasisi hiyo haitakubali kuona mtu yeyote- mwenyeji au mgeni akijaribu kuivuruga amani ya Tanzania.
Profesa huyo amebainisha kuwa moja ya majukumu makuu ya I.P.I ni kutoa taarifa kuhusu viashiria vya uvunjifu wa amani mapema, ili hatua za haraka zichukuliwe na mamlaka husika. Amesisitiza kuwa utulivu wa taifa ni jambo lisilopaswa kuchezewa wala kubezwa na ni wajibu wa kila raia kulilinda.
Aidha, Prof. Munguza ameunga mkono na kupongeza kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa hivi karibuni akiwakemea watu wenye nia mbaya wanaojaribu kuingia nchini kinyume cha taratibu, akisema kauli hiyo ni ya kizalendo na inalinda maslahi ya taifa.
Katika hatua nyingine, Profesa Munguza amewataka wananchi kuwa wazalendo kwa vitendo, kusimama imara katika kila kona ya nchi na kuendelea kuwa walinzi wa amani kama ilivyoasisiwa na viongozi wa taifa tangu kupata uhuru.
Source: Mwanahabari digital
Hao wanalinda wasipigiwe makeleleila kwa wanaopoteza, kuwavunja miguu na kuwaua wananchi hamna cha kusema
Anaeharibu amani anadiriki kusema kuna watu wanaharibu amani!Profesa Wilson George Munguza, amesema kuwa taasisi hiyo iko tayari kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini katika kulinda na kudumisha amani ya taifa.
Yule wamemdekezaMfano uliotolewa na jeshi kwa yule Mwangi wanaharakati wa fujo kutoka east Africa hawatakaa watamani kuja tz.
Chawa par excellence! Hajui kuwa viashiria vya uvunjifu wa amani ni uvunjifu wa HAKI? Amani ni tunda la HAKI.Rais wa taasisi ya International Peace Information (I.P.I) inayojihusisha na masuala ya elimu ya utunzaji wa amani nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki, Profesa Wilson George Munguza, amesema kuwa taasisi hiyo iko tayari kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini katika kulinda na kudumisha amani ya taifa.
Amesema katika makao makuu ya taasisi hiyo yaliyopo Temeke, Dar es Salaam, Profesa Munguza ameeleza kuwa taasisi hiyo haitakubali kuona mtu yeyote- mwenyeji au mgeni akijaribu kuivuruga amani ya Tanzania.
Profesa huyo amebainisha kuwa moja ya majukumu makuu ya I.P.I ni kutoa taarifa kuhusu viashiria vya uvunjifu wa amani mapema, ili hatua za haraka zichukuliwe na mamlaka husika. Amesisitiza kuwa utulivu wa taifa ni jambo lisilopaswa kuchezewa wala kubezwa na ni wajibu wa kila raia kulilinda.
Aidha, Prof. Munguza ameunga mkono na kupongeza kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa hivi karibuni akiwakemea watu wenye nia mbaya wanaojaribu kuingia nchini kinyume cha taratibu, akisema kauli hiyo ni ya kizalendo na inalinda maslahi ya taifa.
Katika hatua nyingine, Profesa Munguza amewataka wananchi kuwa wazalendo kwa vitendo, kusimama imara katika kila kona ya nchi na kuendelea kuwa walinzi wa amani kama ilivyoasisiwa na viongozi wa taifa tangu kupata uhuru.
Source: Mwanahabari digital
Picha yake tafadhali.Profesa Munguza: Hatutomvumilia yeyote anayetaka kuharibu amani ya nchi yetu
gentleman,
unanyimwa haki yako na mkewe? au sijaelewa hoja kwa faida ya wadau?🐒
Rais wa taasisi ya International Peace Information (I.P.I) inayojihusisha na masuala ya elimu ya utunzaji wa amani nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki, Profesa Wilson George Munguza, amesema kuwa taasisi hiyo iko tayari kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini katika kulinda na kudumisha amani ya taifa.