Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

Wawekezaji wataendelea kama wanasababishiwa hasara kubwa namna hii?

Au wataifidishia kwa kudhulumu wafanyakazi wao wa chini?

Kweli haki huinua taifa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ushauri wa namna hii ndio ulioifikisha Nchi hii hapa ilipo kila mtu atakikufuata sheria kwa kutegemea njia za mkato na ndio maana kiongozi akifuata sheria tu anaonekana ni mtu mbaya/dikteta
Hata kama Kuna Sheria lakini Kuna discretion pia. Kuwa na Sheria Haina maana ya kuwa kama robbot
 
Hakuna kupima Wala nini. Yaani waliamua kuvitelekeza Ili wamkomoe muingizaji kumbe ndiyo wameharibu kabisa. Lazima wawajibishwe
Lazima wawajibishwe ? Wewe ni nani unayezalazimisha wawajibishwe ? Unavunja sheria ya nchi makusudi kwa kuingiza vifaranga bila kibali halafu watu wawajibishwe ? Kama ni nchi ya baba yako hii watawajibishwa lakini kama ni nchi hii inayoongozwa kwa taratibu zilizopo hakuna wa kuwajibishwa.
 
Acha tu vife. Kwanza ingefaa tuone ushahidi vimekufa isiwe kuna hila vimepewa muagizaji.
Wakati nchini kuna mwekezaji amechoma vifaranga maelfu miezi michache nyuma kwa kukosa soko halafu kuna mfugaji hapa anaingiza toka ulaya maelfu ya vifaranga.
Inabidi kuelewa ni kwa nini. Kama ni bei, ubora, na kadhalika.
Lakini muhimu muagizaji mwemyewe ndiye wa ulaumiwa kwa kuepa sheria na utaratibu.
 
Fuata utaratibu wa sehemu husika fullstop sehemu wameonyesha maelezo ukitaka kuingia ingia kinyume nyume we unaenda unavyotaka wewe unafika mbele unaona hapa sitoboi unaanza kugeuka inakuwa too late dharau sio nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…