luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya KCMC, na makamu mkuu wa kwanza wa chuo Kikuu Tumaini Makumira Profesa John Shao (80) aliyefariki Oktoba 6 mwaka huu amezikwa.
Profesa Shao ambaye ni mtanzania wa kwanza kusoma shahada ya vimelea vya magonjwa atakumbukwa kwa uchapakazi wake ndani na nje ya nchi.
Profesa Shao amewahi kufundisha chuo kikuu UDSM, kuwa Rais wa Chama chá Madaktari(MCT), pia amewahi kuwa Katibu wa Shirikisho la Madaktari Afrika.
Atakumbukwa kwa kufanya mageuzi makubwa katika sekta ya Afya hasa katika eneo la utafiti wa
tiba za magonjwa.
R.IP PROF SHAO