LGE2024 Profesa Shivji ashangazwa na ripoti mpya ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ataja maeneo yaliyopwaya kwenye ripoti hiyo!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hizi takataka ndio zimezalishwa na ccm, maana siku hizi utakuta wanafunzi wanafaulu wote, na serekali inakimbilia kwenye vyombo vya habari kusaka sifa ya ufaulu.
ChoiceVariable MamaSamia2025
 
Dah! Huyu msomi ni kenge.
 
Huyu Prof huwa anakuwaga na madini muda wote
 
Mbona kama Mwenyekiti wa Wasomi anaongea Kiswahili cha nchi jirani!
 
Yaani Professor apotoshwe, unajua unachoongea? Kama professor anaweza kupotoshwa kwa mambo yaliyowazi vile, nani atabaki salama?
nachoongea ni kwamba wanafunzi wa ngazi zote za elimu nchini waliotimiza sifa, vigezo na masharti ya kikatiba wameandikishwa tayari na wataendelea kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kupata fursa ya kutimiza haki na uhuru wao wa kikatiba bila kujali upotoshwaji aliofanyiwa huyo profesa na hao wapotoshaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…