Profesa Shivji kwanini asiwe mwenyekiti bunge la katiba?

Profesa Shivji kwanini asiwe mwenyekiti bunge la katiba?

salimtevez

Senior Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
186
Reaction score
16
Naomba kuwasilisha wadau. Sababu
-Elimu yake haina mashaka
-Uzalendo wake hauna mashaka
-Tumekuwanae wananchi akitupa elimu ya katiba tangu 2010 (Kupitia Makongamano ya katiba UDSM) n.k
-Mwalimu wake Lissu

Mwenye kuniunga mkono aongezee

Sitta ninautata kwenye UZALENDO wake, kwa sababu!!!
 
jifunze kutofautisha usomi na uongozi......ingekuwa hivyo maraisi wetu wangkuwa maprof wot
 
Naomba kuwasilisha wadau. Sababu
-Elimu yake haina mashaka
-Uzalendo wake hauna mashaka
-Tumekuwanae wananchi akitupa elimu ya katiba tangu 2010 (Kupitia Makongamano ya katiba UDSM) n.k
-Mwalimu wake Lissu

Mwenye kuniunga mkono aongezee

Sitta ninautata kwenye UZALENDO wake, kwa sababu!!!

Katiba mpya haitambui wasia wala warabu. Ndio maana hakuna mwakilishi wao.
Tunate ngeneza only black katiba shivji wa kazi gani
 
Katiba mpya haitambui wasia wala warabu. Ndio maana hakuna mwakilishi wao.
Tunate ngeneza only black katiba shivji wa kazi gani

Kwani wabunge wa bunge la katiba walichaguliwa kwa ukabila?

Pia nikuambie tanzania haina waarabu, waasia,wala wahindi ina watanzania.Mtu kama anajiita mwasia,mwarabu au mhindi akiwa Tanzania kapotoka ni sawa na kujiita mnyarwanda Tanzania halafu utarajie kuwemo bunge la katiba.Mwasia(Mtu wa Asia), Mhindi ( mtu wa India) ,na (mtu wa Uarabuni) ulitaka aende kama mamluki bungeni?

Kama ni watanzania wenye ngozi za rangi zote kwa taarifa yako wako bungeni.Pia ufahamu bunge la katiba ni la watu wote sio maprofesa wa sheria za katiba tu maana nchi ni ya wote.Ingekuwa kujua katiba ndio kigezo pekee basi kitivo chote cha sheria cha chuo kikuu cha Dar es salaam ndio wangekuwa wajumbe wa bunge maalum la katiba na hapo ingekuwa obvious Profesa SHIVJI ndie angekuwa Spika tena wa kupita bila kupingwa.
 
Katiba mpya haitambui wasia wala warabu. Ndio maana hakuna mwakilishi wao.
Tunate ngeneza only black katiba shivji wa kazi gani

Kwa taarifa yako Shivji ni mtanzania mzaliwa wa kilosa morogoro
 
Back
Top Bottom