Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inasemekana baada ya siku mbili alizitoa zote na kuziweka kwenye personal account yake hapo ndio msingi wa hoja yanguKwa kumshitaki Prof. ni kumuonea kwani hizo pesa zinazodaiwa kuchukuliwa na Mheshimiwa sio kwa manufaa yake bali ni kuinufaisha shule kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaosoma katika shule hizo na wanauwezo wa chini, pia sio hao tu hata wengine anawalipia wapo vyuo vikuu .Ningewaomba wananchi msiseme maneno tu bila kuwa na uhakika wa maneno mnayosema.