Profesa Tibaijuka: Historia ya Bibi Titi na wenzake inafichwa kwa sababu za wivu

Profesa Tibaijuka: Historia ya Bibi Titi na wenzake inafichwa kwa sababu za wivu

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Akihojiwa na Wasafi Tv, bi Tibaijuka pamoja na mambo mengine amedai tabia ya kufichwa kwa Historia nzuri ya baadhi ya wapigania Uhuru wa Nchi yetu ni kwa sababu ya ushamba na woga wa kuwapatia sifa stahiki wale ambao tunadhani kwa kutofautiana nao ki mtazamo tunawakomoa.

"....ipo siku historia ya kweli itaandikwa iwahusuyo wapigania Uhuru wetu kwa manufaa zaidi ya Watanzania."

Wasafi.

Soma: Wanajadili Historia ya Bibi Titi Mohamed lakini hakuna hata mmoja anaeijua historia yake
 
Back
Top Bottom