Akihojiwa na Wasafi Tv, bi Tibaijuka pamoja na mambo mengine amedai tabia ya kufichwa kwa Historia nzuri ya baadhi ya wapigania Uhuru wa Nchi yetu ni kwa sababu ya ushamba na woga wa kuwapatia sifa stahiki wale ambao tunadhani kwa kutofautiana nao ki mtazamo tunawakomoa.
"....ipo siku historia ya kweli itaandikwa iwahusuyo wapigania Uhuru wetu kwa manufaa zaidi ya Watanzania."