mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Wengi wanaoteliwa na Rais, ndio mfumo tulionao. Hiki kitu siyo kibaya, tatizo linalotokea ni watu kufanya kazi kwa uoga na hofu. Anaamka asubuhi anakwenda ofisini hajui jioni kama atakuwa ana hiyo nafasi.
Unaweza ukakuta ameshatumbuliwa, ule uhakika wa kuwa kazini unapungua na unapopungua watu wanaacha kufanya kazi, wanalinda kazi. Na kulinda kazi ni kuwa kimya. yaami yupo yupo tu. na kufanya kazi lazima atoke, akosoe mambo. Wanafanya kazi kwa hofu kwa kulinda kazi zao.