Professional chef Course: Zinapatikana wapi?

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Posts
9,466
Reaction score
6,966
Habari wanandugu,
Tuna mfanyakazi wa ndani na tungependa kumpeleka kwenye mafunzo awe professional chef/cook.
Je kuna mtu anayefahamu hizi course zinatolewa wapi, kwa mudagani na kwa kiasi gani? Asanteni
 
unaishi wapi ili uelekezwe vizuri
 
Mpelekeni Italy au France akajifunze italian and spanish cuisine muanze kucelebrety life via mamsosi. Hakuna chef boya toka nchi hizo.
 
kuna mama mmoja anaishi ikonga madafu amefanya sana maoteli ya kitalii huko ulaya sasa anafundisha watu mbali mbali mapishi wakiwemo wajasiliamali km vp nicheki ntakuelekeza namba ake sina 0688111480
 
Nipo bunju, na nimjasiriamali mpishi, Executive chef mwenye uzoefu wa 5* hotels ndani na nje ya nchi. Nipigie simu naweza kukushauri au kumpa program na kumfundisha kwa muda mfupi mkafurahia chakula kizuri chenye afya kwako.. 0788242700 whtasapp tu hii namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…