Professional editing and writing of research proposal and dissertation

Madiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
426
Reaction score
252
Professional editing and writing of research proposal and dissertation in a timely manner is available at reasonable charge.
This professional service also includes:
  • Proofreading and editing
  • Amending grammar, word use and sentence structure
  • Clarifying meaning
  • Checking the content and highlighting areas to be reconsidered
  • Improving layout.
Inbox me or send e-mail at mtafutaji@rocketmail.com
 
hello ndugu. bado unafanya hiyo kazi ya kuandaa dissertation? can u pm your number? plz
 
hello ndugu. bado unafanya hiyo kazi ya kuandaa dissertation? can u pm your number? plz

Nilidhani mambo haya yangekoma baada ya TCU kutangaza kuwa kuanzia Mwaka huu Dissertations zote zitumwe kwao kwa verification ndio Mtu ahitimu! Nchi hii aisee!
 
Wasubiri wale wa kile chuo wanachofanyiwa dissertation. Peleka hata hili tangazo lako pale kwenye campus yao hapa dar utawapata wengi sana
 
Wasubiri wale wa kile chuo wanachofanyiwa dissertation. Peleka hata hili tangazo lako pale kwenye campus yao hapa dar utawapata wengi sana

ndo mana watu hatuendelei we una soma masters kwa ajili ya kupata skills unaandikiwa disertation huko si kujidanganyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…