Kwa wale wanafunzi wa vyuo wanaopata changamoto za kuandika kazi zao zikiwa na makosa mengi ya lugha (grammar) na makosa ya kimpangilio (consistency), suluhisho limepatikana.
Tupatie kazi yako tuweze kuipanga na kuondoa makosa yote ya lugha. Kwa kifupi, tutalinyoosha andiko lako liweze kusomeka vizuri.